"DANGURO" ni moja ya filamu za Kitanzania zilizoleta gumzo kwa sababu ya maudhui yake yanayochunguza maisha ya madanguro na changamoto zinazowakumba wanawake wanaofanya kazi za ngono. Ni filamu ya kihalisia inayolenga kuonyesha upande wa giza wa jamii, ikijumuisha ukatili, biashara haramu, na matatizo ya kijamii.
Karibu kufatilia kisa hiki cha kusisimua, Tafadhali kuwa makini kwani lugha na baadhi ya vitendo vinaweza visiwe rafiki sana kwako au kwa jamii.
👉 Hii ni danguro lakini pia usiache kufatilia movie nyengine kali kama sandra, mpangaji, sanda juu ya kaburi, professor, the house, zumba, switch love, mkoba wa mama, danger, last chance, dakika, Donta tv, penzi la mtoto na dada wa kazi, mission impossible, my daughter na nyengine nyingi sana.
#chibutv #valentinesday #valentine #shortfilm #swahilidramaseries #penzi #ndaro #clamvevo #love #kiss #yanga #ramadhan #simba #dunia #dunia63
Дата на публикация: 5 април, 2025
Категория:
Друго
Коментари (0)
Моля влезте в акаунта си за да пишете коментари.